Kwa karibu anafuatwa na Davido akiwa na watazamaji milioni 2.38, Burna Boy milioni 1.82 na Wizkid milioni 1.68. Mafanikio haya ya sasa ya Diamond yanakuja yakifuata rekodi aliyoiweka mwaka jana ...