Mbali na kupeleka wanajeshi tena Somalia, Marekani imetazama kaskazini ... Jirani yake mdogo wa jirani, Djibouti, ana kambi za kijeshi za kigeni, zikiwemo za China na Marekani.
Kambi kubwa zaidi ya Uturuki kwenye ardhi ya kigeni iko kando ya mwambao wa Somalia kusini mwa Mogadishu. Marekani imeishutumu China kwa kuingilia shughuli zake nchini Djibouti kwa kupiga mwanga ...