Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini Burundi umetoweka kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lakini vizazi vipya vimeamka na kusema kutoweka kwa taarabu ni kutokomeza ...
Maryam anasema hakuweza kujifunza kupiga chombo hicho cha taarab akiwa mtoto kwa sababu ya masharti ya utamaduni, lakini sasa anasaidia kuwafundisha wanawake wengine kupiga muziki huo BBC ...