Chini ya uongozi wake ufalme wa Mali uliimarika kwa kiwango kikubwa. Aliunganisha miji 24 ikiwemo Timbuktu. Ufalme wake ulipanuka kwa takriban maili 2000 kutoka bahari ya Atlantic hadi nchini ...