Kundi la wanamgambo wa M23 wanaotajwa kuungwa mkono na Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) yamefanya mashambulizi tena baada ya kuwa kimya kwa siku kadhaa huku wakioneka kushambulia uelekeo wa barabara ku ...
Nchi ya Burundi, imetuma wanajeshi wake katika eneo la Gatumba kwenye mpaka wa DRC, ambapo wanatarajiwa kutumwa katika Mji wa ...
CONGO : WANAJESHI  wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wakisaidiana na jeshi la Burundi, wamefanikiwa kufanya ...
WAASI wa M23 jana Januari 29 wameendelea na mashambulizi baada ya kuuteka Mji wa Goma huku wakielekea Bukavu Mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini, katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Vikosi vy ...
Burundi inaendelea kuhusika katika vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC, ambapo ilitia saini makubaliano ya ushirikiano wa ...
此前,当地时间2月3日,刚果(金)反政府武装“M23运动”所属的政治军事联盟“刚果河联盟”单方面发表声明称,出于人道主义原因将于2月4日起 ...
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, ameonya kwamba mzozo wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaweza ...
Kundi la M23 linalodaiwa kuungwa mkono na Rwanda limekuwa kwenye mapigano ya muda mrefu na Serikali ya DRC, ambapo sasa ...
Baada ya hali ya usalama kuzorota zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku DRC na Rwanda zikishutumiana kuhusu msaada kwa waasi wa M23, wakuu wa mataifa ya Afrika Mashariki ...