Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema siku ya Jumatatu linahitaji dola milioni 19.8 kwa dharura kulisha wakimbizi 120 ...
" Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wazingizie waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia ...
Mchungaji Mono amepokewa leo Jumatatu, Machi 24,2025 katika dayosisi hiyo ya Mwanga, akitokea Shinyanga alikokuwa akihudumu. Amesema taarifa za kuchaguliwa kwake alizipata Machi 10,2025 kupitia habari ...
iliyo mpakani na Burundi na kilomita chache na mji mkuu wa kiuchumi wa Burundi, Bujumbura, lakini pia kwa sababu Uvira iko kaskazini mwa Kalémie, mji mkuu wa mko wa Tanganyika. Jiji linalotoa ...