Kambi kubwa zaidi ya Uturuki kwenye ardhi ya kigeni iko kando ya mwambao wa Somalia kusini mwa Mogadishu. Marekani imeishutumu China kwa kuingilia shughuli zake nchini Djibouti kwa kupiga mwanga ...
Baadhi ya marais wa nchi za Afrika wanaohudhuria mkutano mkuu wa nishati Afrika, wameeleza matumaini yao kuhusu mkakati ulioandaliwa kwa ajili ya uzalishaji wa umeme barani humo.