Kambi kubwa zaidi ya Uturuki kwenye ardhi ya kigeni iko kando ya mwambao wa Somalia kusini mwa Mogadishu. Marekani imeishutumu China kwa kuingilia shughuli zake nchini Djibouti kwa kupiga mwanga ...