Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inasema Rwanda inapuuza wito wa kusitishwa kwa mapigano baada ya waasi wa M-23 kuuteka mji wa pili mashariki mwa nchi hiyo. Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya ...