Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Hata hivyo, pamoja na kundi hilo la waasi kuanzishwa tarehe hiyo, makeke yalianza kuonekana zaidi miezi miwili baadaye, Juni 6, 2012.
Makala ya yaliyojiri wiki hii kwa sehemu kubwa imejikita katika kudadavua hali yausalama wa mashariki mwa Jamhuri ya ...
Marekani imelitolewa wito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kusitisha mashambulizi ya wanajeshi wa ...
Igitutu cy'amahanga cyaba kiri butume ibyabaye mu 2012 byisubiramo? M23 yaba iri bukomeze Goma ikanakomereza i Bukavu, ...
M23 na jeshi la Rwanda wanadhibiti uwanja wa ndege na sasa wanamiliki karibu mji mzima na vitongoji vya Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini. Mkutano umepangwa kufanyika leo kati ya viongozi wa Kongo ...
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imethibitisha hivi leo uwepo wa jeshi la Rwanda huko Goma, ambako waasi wa M23 ...