JAMII imeaswa kuwa na utaratibu wa kutazama afya zao, ili kusaidia kuimarisha uimara wa mwili na kuepukana na magonjwa yasiyo ya lazima pamoja na vifo. Hayo yalielezwa na Mjumbe wa Bodi kutoka ...
Dar es Salaam. Wakati magonjwa yasiyoambukiza ikiwamo saratani yakitajwa kushamiri nchini, jamii imeaswa kuwakumbuka wanawake wenye ugonjwa huo kwa mahitaji na kuwapa moyo. Kwa mujibu wa takwimu ya ...
SICPA Tanzania, kampuni ya teknolojia inayoiwezesha Serikali ya Tanzania kuthibitisha na kulinda rasilimali zake kupitia mifumo ya uthibitishaji wa usalama, inaendelea kuthibitisha dhamira yake ya ...
Katika eneo la Garissa karibu na mpaka wa Somalia , Kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu,ICRC kupitia miradi ya maji kwa jamii ambao ni waathiriwa wa mzozo wa Somalia ,imeweza ...
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako ...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum,Mwanaidi Ali Khamis,akizungumza na Kamati za MTAKUWWA II za wilayani Arumeru,vikundi vya malezi na wadau wengine wa masuala ya ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kuwa na kibali ...
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimewaondoa masomoni wanafunzi 121 waliopatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya mitihani. Taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano na Masoko cha chuo hicho imeeleza ...
SERIKALI imesema ipo tayari kukutana na viongozi wa vijana waliojitambulisha kuwa ni Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala ...
Mateso ya muda mrefu, ukatili, ubaguzi na ukosefu wa usawa wa kiuchumi bado vinaathiri jamii zetu. Kila baada ya dakika kumi, mwanamke huuawa na mwenzi wake au mwanafamilia.” Ameongeza kuwa wanawake ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果