Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ...
Prof Janabi na wenzake wanawania kuziba nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo, Dk. Faustine Ndugulile, waziri ...
Mazungumzo ya amani yaliyopaswa kufanyika leo nchini Angola kwa lengo la kutafuta suluhu kwa mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yamepata pigo kubwa baada ya kundi la waasi la M23 kujiondo ...
Umoja wa Mataifa unaendelea kumuunga mkono mshirika wake, serikali ya Jamuhuri ya Kidemokratia ya Kongo, katika kuwalinda raia. Ni kwa ajili hiyo ambapo Umoja wa Mataifa, kupitia ujumbe wake wa ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ...
Kundi la waasi wa M23 linaendelea kusonga mbele katika maeneo muhimu ya kimkakati mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kuteka miji mikubwa ya Goma na Bukavu. Kutokana na ...
Serikali ya Rwanda imelaani vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Waziri wake anayeshughulikia Muungano wa Kikanda, Jenerali Mstaafu James Kabarebe, ikimtuhumu kuhusika katika vita kati ya kundi ...