Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ...
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 kutoka mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanne kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya. You need ...
Prof Janabi na wenzake wanawania kuziba nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo, Dk. Faustine Ndugulile, waziri ...
Mwanamuziki Joseph Kabasele maarufu kwa jina la Grand Kalle, kama ilivyokuwa kwa Wakongo wengi kwa agizo la Rais Mobutu ...
Huku hayo yakijiri, wanajeshi wa Afrika Kusini ambao walijeruhiwa vibaya katika mzozo wa mashariki mwa Kongo, wamerejea nyumbani kwa matibabu zaidi. Jeshi la Afrika Kusini limesema Jumanne kuwa ...
Kisiwa cha Idjwi nchini DRC kimekuwa kikipokea mamilioni ya watu wanaoathirika na vita nchini humo na nchi jirani ya Rwanda ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa wito wa kuimarishwa ushirikiano zaidi kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kuweza kunufaika na sekta ya nishati ambayo inaendelea kukua kwa kasi.
Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ...
Umoja wa Mataifa unaendelea kumuunga mkono mshirika wake, serikali ya Jamuhuri ya Kidemokratia ya Kongo, katika kuwalinda raia. Ni kwa ajili hiyo ambapo Umoja wa Mataifa, kupitia ujumbe wake wa ...
Wagonjwa wanakimbia vituo vya matibabu Hofu mpox kusambaa nchi jirani na DRC Ndui nayo yashamiri Afrika na kwingineko Hali ya ugonjwa wa mpox chini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC inatia hofu ...