Ujumbe unaojumuisha Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti umepokelewa Jumatano, Februari 12, huko Goma na Corneille Nangaa, ...
Mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kusini, Bukavu, unajiandaa kushambuliwa na M23 na washirika wake Rwanda siku ya Ijumaa, ikionyesha mwendelezo wa mzozo huo ambao Umoja wa Mataifa unahofia kuwa "mbaya ...
Kundi la Hamas limeanza mikutano na maafisa wa Misri kujadili utekelezaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Rais wa Congo Félix Tshisekedi anataka kurudisha ardhi aliyoipoteza kwa waasi, ikiwemo mji mkubwa wa mashariki wa Goma, na ...
Kundi la waasi la M23 limeibuka na kuteka Mji wa Nyabibwe ulioko kwenye ukingo wa Ziwa Kivu jimbo la Kivu Kusini nchini DRC ...
HALI ya kutisha imeukumba mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya maiti za watu kutapakaa katika ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ukubwa baada ya Kinshasa. Mji huu, uliopo mpakani na Gisenyi nchini Rwanda, ...
Baada ya kuteka mji wa Goma ambao ndio mkubwa eneo hilo, kundi hilo likajitapa kwamba sasa linajipanga kwenda hadi Kinshasa, yaani kupindua Serikali.