Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, MONUSCO, Bintou Keita ametoa wito siku ya Alhamisi, Machi 27, kuelekeza juhudi ...
Watu milioni 28 wanakabiliwa na njaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hii ikiwa idadi ya juu zaidi kwa nchi hiyo, ...