NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amesema mjadala unaoendelea kuhusu Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) unaonesha umuhimu wa mafunzo yanayotolewa na kwamba ...
KOCHA Mkuu wa kikosi cha Simba Queens, Yussif Basigi amesema timu hiyo inapaswa kuwa makini na michezo iliyosalia ya Ligi Kuu ya Wanawake. Wikiendi iliyopita timu hiyo ilipoteza ikiwa nyumbani dhidi ...
Dar es Salaam. Suala la upatu na mikopo umiza limeendelea kuumiza vichwa vya Watanzania, safari hii Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir akisimuliwa ambavyo amewahi kuokoa watu walotaka ...
LONDON, ENGLAND: STAA wa Manchester United, Jadon Sancho ameambiwa anaweza kuwa sehemu ya kikosi cha kocha Ruben Amorim endapo kama atafiti kwenye mfumo wa kocha huyo. Staa huyo wa England ametumikia ...
"Agosti kampeni zinaanza na jambo wanalolitaka Chadema ni kitaifa linahusisha wadau wengi wa vyama vya siasa. Shida iliyopo Chadema wamewaweka njia panda makada kuhusu uchaguzi na wengine hawafanyi ...