Yanga kuendelea kukaa chini ya Simba haiwafurahishi kabisa viongozi na mashabiki wa timu hiyo bila kujali ubora wa watani wao, hakuna ambacho utawaambia Yanga wekundu hao ni bora kushinda kikosi chao.
Adebayor aliyesajiliwa dirisha kubwa alianza kutumika katika mechi tatu za Ligi Kuu ikiwamo ile ya kwanza dhidi ya Tanzania Prisons iliyopigwa Desemba 16, mwaka jana jijini Mbeya na Singida kushinda ...