Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani limeeleza wasiwasi wake kuhusu ugumu wa ufikiaji wa wanaohitaji msaada mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na ongezeko la ...
KWA dau hili hata ungekuwa ni wewe usingebaki. Ndio, imefichuka kwamba aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga, Sead Ramovic aliye mbioni kujiunga na CR Belouizdad ya Algeria atavuta mshahara wa kibosi ...
Kocha huyo anaondoka Yanga akiwa na rekodi mpya binafsi ya kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi akiwa na timu hiyo, huku Hamdi akitua kikosi humo akiwa amecheza mechi mbili tu za ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Steven Wasira, amewakosoa wanaoshinikiza upatikanaji wa Katiba Mpya huku wakipuuzia ...
Wataalamu hao wanataka mtindo mpya unaoangalia unene na namna unaoathiri viungo vya mwili - kama vile ugonjwa wa moyo, kushindwa kupumua, kisukari cha aina ya 2 au maumivu ya viungo - na athari ya ...
Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN), Mtukufu Aga Khan, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Maduka ya chini ya majengo ya ...
Unguja. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu imesema lazima iwepo sheria mpya itakayotoa adhabu kwa wanaosingizia makosa ya ukatili, ili kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Pia, watendaji wanaozorotesha, ...
MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa kushirikiana na wananchi ambayo itaondoa adha ya wananchi hao kutembea umbali ...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana, amewataka maofisa elimu na watendaji wa sekta hiyo kuhakikisha wanaendana na mabadiliko ya utekelezaji wa mtaala mpya wa masomo ulioanza kutumika ...
Uhusiano wa Syria na Urusi Kujenga upya jeshi la Syria kutahitaji mwanzo mpya au kuendelea kutegemea vifaa vya Urusi, jambo ambalo litamaanisha kuwepo aina fulani ya uhusiano kati ya nchi hizo ...
Amekariri kwamba Uingereza itashauriana na serikali mpya ya Trump ili kuipa fursa ya "kuzingatia mpango huo kwa ukamilifu". Pia amebainisha azimio la London la kupata hakikisho la ulinzi thabiti ...
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni 𝐉𝐨𝐧𝐚𝐭𝐡𝐚𝐧 𝐈𝐤𝐚𝐧𝐠𝐚𝐥𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果