Nandy anayefanya vizuri na wimbo wake mpya, Mlete (2024), unakuja na albamu hiyo baada ya kutoa EP tatu, Taste (2021), Maturity (2022) na Wanibariki (2021) yenye muziki wa Injili pekee. Utakumbuka ...
Kiongozi huyo mpya alichaguliwa Oktoba 9, na kuongeza muda wa utawala wa Frelimo, ambao umekuwa madarakani kwa karibu miaka 50. Uchaguzi wake bado una upinzani mkubwa, hasa na mgombea wa upinzani ...
Hatua hii inakuja baada ya kukamilika kwa ukarabati na ujenzi wa ghorofa ulioanza baada ya soko kuungua Julai 10, 2021, ambapo na serikali ilitoa Sh29 bilioni ili lifanyiwe ukarabati ambao... Kwa ...
YANGA ikiwa inapambana uwanjani leo jioni ikiizamisha TP Mazembe kwea mabao 3-1, jukwaani akaonekana mshambuliaji mpya, Jonathan Ikangalombo, ambaye Mwanaspoti liliwaripotia kwamba yupo hatua ya ...
Katika kuadhimisha mwaka mpya, tunapata nafasi ya kutafakari na kufanya mabadiliko chanya katika maisha yetu. Wengi hutumia kipindi hiki kupanga malengo na mikakati mipya na ni muhimu kukumbuka kuwa ...
DAR ES SALAAM; WATOTO 19 wamezaliwa katika hospitali za mkoa za rufaa Dar es Salaam usiku wa kuamkia Mwaka Mpya wa 2025. Maofisa habari wa hospitali hizo walithibitisha hayo jana walipozungumza na ...
DAR ES SALAAM; MAKANISA mbalimbali nchini yameendesha ibada ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2025 huku viongozi wake wakitaka Watanzania kuombea taifa amani, uchaguzi mkuu, kujiimarisha kiimani na kuacha ...