Jioni hii kwenye makala ya Jukwaa la Michezo tumeangazia Congo kufutiliwa kushiriki mashindano ya CHAN 2024, kufutwa kazi kwa ...
Salford juzi ilikuwa kwenye Uwanja wa Etihad jijini Manchester kuvaana na Man City katika mchezo wa raundi ya tatu ya Kombe la FA. Beki huyo wa kulia alianza kwenye kikosi hicho akicheza kwa dakika 58 ...
LONDON, ENGLAND: Leo Arsenal inaikaribisha Manchester United katika mchezo wa Kombe la FA raundi ya tatu utakaochezwa Uwanja wa Emirates kuanzia saa 12:00 jioni. Arsenal yenye rekodi ya kushinda taji ...