VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya kumaliza mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni ...
Lakini msemaji wa jeshi la Burundi amepuuzilia mbali ripoti za kuondoka kwa jeshi hilo kuwa ni "uongo", na amesema katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba wanajeshi wa nchi yake ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi atashiriki katika mkutano wa kilele wa viongozi wa Mashariki na Kusini mwa Afrika unaoanza Ijumaa kujadili mzozo wa mashariki mwa nchi ...