Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeelekeza rufaa dhidi ya Kocha Liston Katabazi aliyoikata dhidi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), akipinga uamuzi Mahakama ya ...
Mbeya. Wanandoa walio wengi wako hatarini kupatwa na magonjwa ya afya ya akili, wasiwasi na mfadhaiko na kuto kushirikiana tendo la ndoa kutokana na migogoro ya kifamilia isiyoisha. Hatua hiyo ...
Katika taarifa kwa vyombo vya habari, serikali imetangaza siku ya Jumatano, Machi 19, kwamba ilikuwa imetoa kiasi cha takriban faranga za CFA bilioni 18 ili kufuta malimbikizo yake kwa Benki ya Dunia.
Mijadala ya Doha, iliyofanyika kwa nia ya ushirikishwaji wenye kujenga, inalingana na juhudi hizi na inayosaidia taratibu zinazoendelea za kikanda," Youssouf amesema. Rais wa Kongo Felix ...
MUWSA yapanda miti kuhifadhi vyanzo vya maji, kilele Wiki ya Maji. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imefanya zoezi la kupanda miti rafiki wa maji katika kilele cha Maadhimisho ...
Hatua hiyo inafuatia majibizano yao ya ijumaa iliyopita ambayo Zelensky anayataja kama ya kujutia na hayakufanyika kama ilivyopangwa Rashid Abdallah Chanzo cha picha, Getty Images Makamu wa rais ...
DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Ithibati ya wanahabari uliofanywa leo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi jijini Dar es ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果