KIONGOZI Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kama Profesa Mzee Philemon Sarungi angekuwa hai, angekemea kwa ukali uamuzi wa kuahirisha mechi ya dabi kati ya Yanga na Simba ...