Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo imeziandikia timu za soka barani Ulaya zinazopata ufadhili kutoka serikali ya Rwanda kutopokea, 'Fedha zinazotokana na umwagikaji wa damu,' unaoendelea mashariki mwa D ...
Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.