SERIKALI ya Uganda imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Ebola imefikia tisa kutoka watu watatu ...
Jumamosi ya wiki iliyopita, Kinshasa ilisisitiza kwamba Uganda ilikuwa imeongeza idadi ya wanajeshi wake katika ardhi yake. Licha ya kukanusha ripoti hiyo, Kampala imesisitiza maofisa ambao ...