RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 ...
KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema sababu kubwa za mshambuliaji nyota wa timu hiyo, John Bocco kushindwa kucheza mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ni kutokana ...
Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ...
KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery amesema amevutiwa na kiwango cha mazoezi ya mchezaji Marcus Rashford hivyo kuna uwezekano mkubwa akampa nafasi ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye ...
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amemwomba radhi Jack Grealish kwa sababu hamchezeshi kiasi cha kutosha msimu huu.
LISEMWALO ni Vinicius Junior amegomea mkataba mpya Real Madrid jambo linalozidi kuchochea uvumi wake wa kutimkia Saudi Arabia ...
RUUD van Nistelrooy amefyumu baada ya kikosi chake cha Leicester City kutupwa nje ya Kombe la FA kwa bao la utata kwenye ...
MANCHESTER, ENGLAND?: UNAIKUMBUKA ile kesi ya Manchester City. Ni ile ya mashtaka 115 yanayowakabili ya kukiuka taratibu za ...
SOKA lina burudani yake, lakini ndani ya wanaocheza pia wana burudani zao mbalimbali ambapo timu nyingi zikiwa kambini baadhi ...
LOS ANGELES, MAREKANI: NYOTA mpya wa Los Angeles Lakers, Luka Doncic (25) kesho usiku anatarajiwa kucheza mchezo wake wa ...
HADI kufikia sasa Weusi ni miongoni mwa makundi machache katika Bongofleva yaliyofanikiwa kudumu kwa kipindi kirefu na kuwa ...
SINA lengo la kumshushia mtu heshima; ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果