Wizara ya Afya imewahimiza wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kushiriki vitu vya binafsi kama nguo, mashuka na blanketi vilivyotumiwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa huo.
Wizara ya Afya imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa Mpox nchini, ambapo hadi sasa watu wawili wameugua, mmoja wao akiwa dereva wa magari ya mizigo aliyetoka nchi jirani kuelekea Dar es Salaam. Kwa ...
Mamlaka za afya nchini Tanzania zimethibitisha kuwepo kwa visa viwili vya ugonjwa wa Mpox baada ya watu wawili kugundulika ...
Urusi inasema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina yake na Marekani yatakayofanyika Saudi Arabia kuhusu kuondoa ...
Dalili hizo ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametetea msimamo mkali wa chama hicho kuhusu kauli mbiu ya “Hakuna Mageuzi, Hakuna Uchaguzi” na kusisitiza kuwa ...
Hati ambayo shirika la habari la REUTERS limepata kopi inaelezea mapendekezo kwa wakuu wa ulinzi baada ya mkutano wa wataalamu wa kiufundi nchini Tanzania mnamo Februari 23. Wakuu wa majeshi ...