Leo Mei 12, 2021 Rais Yoweri Museveni anatarajiwa kuapishwa kuendelea kuiongoza Uganda. Ikulu ya rais iliarifu wiki iliyopita kuwa wakuu wa nchi kumi na moja wamethibitisha kuhudhuria hafla hiyo.
Shirika la wanahabari wasio na mipaka RSF katika taarifa yake limethibitisha kwamba wanahabari 18 nchini Uganda ...
Mkuu wa jeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amedai jeshi la Uganda, UPDF au waasi wa M23 watawasili katika mji wa ...
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema askari wa Jeshi la Uganda (UPDF) ama wapiganaji wa Kundi la M23 ...
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao w ...