Umoja wa Mataifa umeonya juu ya kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini. Umesema hali hiyo inaweza kulirudisha taifa hilo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ...
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao ...