Umoja wa Mataifa umeonya juu ya kukamatwa kwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini. Umesema hali hiyo inaweza kulirudisha taifa hilo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, ameamuru uchunguzi kufuatia kifo cha mkuu wa zamani wa jeshi James Kazini aliyeuawa siku ya Jumanne. Mpenzi wa meja Jenerali Kazini amekiri kumuua afisaa huyo wa ...
ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassani ameagiza uanze mchakato wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) kwenda mkoani Arusha.
Mzozo wa hivi karibuni wa Sudan Kusini unatokana na mvutano kati ya Rais Salva Kiir na mpinzani wake, ambaye ni makamu wa ...
Angola imehitimisha jitihada zake za upatanishi katika mzozo unaoendelea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ...
Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema askari wa Jeshi la Uganda (UPDF) ama wapiganaji wa Kundi la M23 ...