" Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wazingizie waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia ...
Kuongezeka kwa wakimbizi wanaohitaji msaada kumeweka mzigo mkubwa kwa programu za chakula za WFP nchini Burundi, imesema taarifa iliyotolewa Machi 24 na shirika hilo mjini Bujumbura, Burundi Tangu ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani limesema siku ya Jumatatu linahitaji dola milioni 19.8 kwa dharura kulisha wakimbizi 120 ...
Mchungaji Mono amepokewa leo Jumatatu, Machi 24,2025 katika dayosisi hiyo ya Mwanga, akitokea Shinyanga alikokuwa akihudumu. Amesema taarifa za kuchaguliwa kwake alizipata Machi 10,2025 kupitia habari ...