Sio mara ya kwanza Kianerugaba kutoa kauli za kutatanisha katika mtandao wake wa kijamii wa X. Licha ya waasi wa M23 kuchukua miji kadhaa ya mashariki mwa Congo, waasi hao hawajaonesha nia ya kutaka ...
Licha ya waasi wa M23 kuchukua miji kadhaa ya mashariki mwa Congo, waasi hao hawajaonesha nia ya kutaka kudhibi mjia wa kimkakati wa Kisangani, M23 ikidai inapanga kujiondoa katika mji wa Walikale ...
Kampala. Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema askari wa Jeshi la Uganda (UPDF) ama wapiganaji wa Kundi la M23 watawasili katika mji wa Kisangani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ...