Nyimbo zake za mwanzo kama Mafungu (2009) na Nivute Kwao (2011) ndizo zilimpatia umaarufu kimuziki Dayna Nyange na hadi sasa ...
MBONA kimya. Hili ni swali kwa mkali wa Hip Hop kutoka Arusha, Dogo Janja ambaye baada ya kuangukia kwenye penzi la mrembo Queen Linah, wengi wanaamini ndiyo sababu za kutokutoa nyimbo na maisha kwake ...