Utakumbuka Davido alianza muziki katika kundi la KB International nchini Marekani, alipata umaarufu alipoachia wimbo wake 'Dami Duro' ambao ni wa pili kutoka kwa albamu yake ya kwanza, Omo Baba Olowo ...