Nchi hizo zilizoita wachezaji kutoka Ligi Kuu Tanzania Bara ni Uganda, Kenya, Zambia, Guinea, Mali, Zimbabwe, Burundi, Gambia na Sudan. Yanga ndiyo timu iliyotoa wachezaji wengi zaidi, ikiwa na ...