Na Nora Damian, Mtanzania Digital Walimu wakuu 60 na wapishi katika shule za msingi Halmashauri ya Manispaa Temeke wamejengewa uwezo kuhusu matumizi ya nishati safi ...
Mbali na kuangazia maisha ya urafiki wao na baada ya kupotezana kwa kipindi kirefu hicho, wawili hao walizungumzia baadhi ya mambo yanayotikisa jamii hivi sasa. Hayo ni pamoja na ndoa nyingi kuvunjika ...
PROFESA wa Historia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Frederick Kaijage, amesema ni vyema jamii ikajenga utaratibu wa kuandika vitabu kuwahusu wao maishani, ili kujenga historia na kuacha ...
Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani CSW69 unakunja jamvi leo hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York Marekani baada ya mjadala wa wiki mbili kutathimini hatua zilizopigwa na ...
Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Yemen vikitimiza muongo mmoja, zaidi ya nusu ya watoto nchini humo wanakabiliwa na unyafuzi yaani utapiamlo mkali, limesema hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la ...
Mwanga. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewasisitiza wazazi na walezi wa jamii za kifugaji kuhakikisha watoto wao wanapewa kipaumbele katika masomo, badala ya kuwatumikisha kwa kuchunga mifugo.
Changamoto hii si tu inahatarisha afya zao, bali pia inawafanya wakose heshima na hali ya utu mbele ya jamii. Kwa kutambua hitaji hili, Sarah Lamptey alianzisha ShowerBox mwaka 2018, mradi wa ...
Mwanga. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka jamii za kifugaji kuhakikisha zinawapeleka watoto shule na kuacha tabia ya kuwatumikisha kuchunga mifugo. Amesema ...
Mahusiano ya kimapenzi ya Mfalme wa jamii ya Wazulu kutoka Afrika Kusini yamezua mjadala nchini humo – huku gumzo linalohusiana na maisha yake ya kibinafsi likisambaa kwa kasi kama moto wa ...
Siasa 21.03.2025 21 Machi 202560:00 dakika ...
SIKU ya Wanawake Duniani huadhimishwa Machi 8, kila mwaka hivyo kesho wanawake wa Tanzania wataungana na wengine duniani kote kuadhimisha siku hii muhimu kwa jamii. Shughuli na matukio mbalimbali ...
DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba imeamua kutoshiriki mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC Jumamosi, Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, baada ya kudai kuzuiwa kufanya mazoezi ya ...