JAMII imeaswa kuwa na utaratibu wa kutazama afya zao, ili kusaidia kuimarisha uimara wa mwili na kuepukana na magonjwa yasiyo ya lazima pamoja na vifo. Hayo yalielezwa na Mjumbe wa Bodi kutoka ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema miongoni mwa mambo makubwa yaliyofanyika ni kuiruhusu Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kutoa nafasi kwa sekta binafsi na sekta ya Waliojiajiri kupata fursa ya kujiwekea ...
Dar es Salaam. Jaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Dk Modesta Opiyo amewataka wanawake wa Mahakama kutafakari kwa makini mchango wao kwa jamii inayowazunguka. Pia, ametoa wito kwa wanawake ...
Jukwaa hili linajikita katika kuhakikisha ujumuishwaji na ushiriki wa wanawake kwenye ngazi mbalimbali za uongozi na uamuzi.” Amesema lengo la hayo ni kuleta matokeo chanya katika jamii na kukuza ...
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako ...