“Jana, niliandamana na kikosi cha pili cha polisi wa Kenya hadi Misheni ya Msaada wa Usalama wa Kimataifa (MSS) nchini Haiti. "Maafisa 217 wataimarisha kundi la kwanza la 400 waliotumwa mwaka ...