Shinikizo linaongezeka kwa maafisa wa polisi wa Kenya kutekeleza ahadi yao ya kusaidia kudhibiti magenge yaliyokithiri nchini Haiti, wiki sita baada ya kukanyaga taifa hilo la Karibea. Wakati ...
Kikifadhiliwa kimsingi na Marekani, kikosi kinachoongozwa na Kenya kilitumwa Haiti miezi sita iliyopita kikiwa na jukumu la kurejesha sheria na utulivu. Katika doria katikati ya jiji la Port-au ...
Siku ya Jumamosi, Januari 18, 2025 ilitangaza kutuma kikosi kipya cha maafisa wa polisi 217 nchini Haiti. Lakini kutumwa kwa mamia ya maafisa wa polisi wa Kenya nchini Haiti tangu mwezi Juni mwaka ...