Mkuu wa Majeshi nchini Uganda, Muhoozi Kainerugaba, amesema askari wa Jeshi la Uganda (UPDF) ama wapiganaji wa Kundi la M23 ...
MKUU Majeshi wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ambaye ni mtoto wa Rais Museveni, amesema kuwa vikosi vyake vitadhibiti mji wa Kisangani, iwapo waasi wa M23 watachelewa kuuteka mji huo. Kupitia mtandao ...
Kufuatia machapisho mfululizo kwenye ukurasa wake wa kijamii wa X, Kainerugaba, amesema jeshi lake au waasi wa M23 wataingai Kisangani kwa agizo la rais Yoweri Museveni ili kuwaokoa wakaazi wa mji ...
ambapo wakatangaza kuunga mkono mpango wa mazungumzo kati ya waasi wa M23 na Serikali ya Kinshasa. Aidha katika kikao kilichopita cha wakuu wa nchi za SADC, walikubaliana kuwaondoa wanajeshi wao ...