Prof Janabi na wenzake wanawania kuziba nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo, Dk. Faustine Ndugulile, waziri ...
Ubelgiji na Rwanda zinawatimua wanadiplomasia wao katika kujibu kuhusiana na mzozo unaoendelea mashariki mwa Jamhuri ya ...
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kumalizika kwa majukumu yake ya kupeleka wanajeshi nchini Jamhuri ...
Mwanamuziki Joseph Kabasele maarufu kwa jina la Grand Kalle, kama ilivyokuwa kwa Wakongo wengi kwa agizo la Rais Mobutu ...
RAIS Dk Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa ...
Makamu wa Rais,Dk Philip Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika Bara la Afrika hasa Kusini mwa Jangwa la Sahara bado ...
MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango ametoa wito wa kuimarishwa ushirikiano zaidi kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kuweza kunufaika na sekta ya nishati ambayo inaendelea kukua kwa kasi.
Kisiwa cha Idjwi nchini DRC kimekuwa kikipokea mamilioni ya watu wanaoathirika na vita nchini humo na nchi jirani ya Rwanda ...
Afrika ya Kusini imekamilisha kuwaondosha wanajeshi wake 127 kutoka mstari wa mbele wa mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanne kati yao wakiwa wamejeruhiwa vibaya. You need ...
Nchi za Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Afrika Kusini, Msumbiji, Rwanda, Tanzania, Uganda, Angola, Burundi, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Zambia zilisaini makubaliano ya jijini Addis Ababa ...