AFRIKA KUSINI imepeleka wanajeshi na zana za kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kusaidia mapambano dhidi ya waasi wa M23 ...
Afrika Kusini imeanza kuimarisha uwepo wake wa kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Takriban siku kumi zilizopita ...
KESI inayowakabili wanajeshi 84 wa Congo wanaotuhumiwa kwa mauaji, dhidi ya raia mashariki mwa nchi imeanza kusikilizwa.
Uvamizi wa waasi wa M23 katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya demokrasi ya Congo (DRC) lenye utajiri wa madini umesababisha mzozo wa kibinadamu na kidiplomasia, ukihusisha mataifa kadhaa jirani.