Umoja wa Mataifa imeripoti ukiukwaji mkubwa ikiwa ni pamoja na mauaji, ubakaji wa genge na utumwa wa kingono kufuatia kuingia ...
Mgogoro wowote lazima uwe na wahusika wakuu. Inawezekana pia kukawa na wahusika wadogo. Ili kuelewa msingi wa mgogoro, ni muhimu kutambua wahusika wote.