“Tuko katika njia panda ya kihistoria leo,” Starmer amesema huku akiwataka viongozi wenzake wa Ulaya kuchukua hatua wakati huu wa kipekee kwa usalama wa Bara la Ulaya. “Huu si wakati wa maneno zaidi.
Kama unafikiria mambo ni mazuri kwa makipa, basi elewa kwamba kuna mambo yanayoendelea viwanjani ambayo yamewagusa katika timu, huku mechi za Ligi Kuu Bara zikibakia takribani tisa ili kumalizika kwa ...