Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala leo amegeuka shujaa wa timu hiyo baada ya kuifungia mabao yote matatu (hat trick) katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika Uwanja ...