MECHI ya 'Dabi' iliyokuwa ichezwe Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, iliota mbawa Jumamosi iliyopita baada ya kutokea mtafaruku wa watu wanaosemekana ni mabaunsa wa Yanga kuzuia msafara wa ...
WAKATI Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ikiwataka wadau wa soka kuwa watulivu kipindi hiki wakiendelea kusubiri taarifa itakayotolewa kueleza kwa nini mchezo wa Simba na Yanga uliokuwa uchezwe Machi ...
DAR ES SALAAM: Klabu ya Simba imeamua kutoshiriki mchezo wake wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Yanga SC Jumamosi, Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, baada ya kudai kuzuiwa kufanya mazoezi ya ...
Dar es Salaam. Sakata la Simba kugomea mchezo dhidi ya watani wao, Yanga, limechukua sura mpya baada ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutoa tamko kwamba mechi hiyo ipo palepale kama ilivyopangwa.
LICHA ya kubakiwa na mechi saba kwa upande wa Yanga ukiondoa mchezo wa Jumamosi huku Simba wakibakiwa na mechi nane, mchezo wao wa dabi ndio unaoaminika kama ndio wenye kuamua nani bingwa kati ya ...
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala leo amegeuka shujaa wa timu hiyo baada ya kuifungia mabao yote matatu (hat trick) katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union katika Uwanja ...