KLABU ya Yanga imesema kuwa itawatangaza wachezaji wake iliyowasajili kipindi hiki cha dirisha dogo, itakaporejea nchini kutoka Mauritania ambako jana usiku ilikuwa na kibarua cha mchezo wa Ligi ya ...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amesema Noti Mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye ...
KIUNGO mpya wa JKT Queens, Elizabeth John amesema anatamani kufanya makubwa akiwa na timu hiyo kutokana na ubora wa timu hiyo. Kinda huyo alipewa mkono wa kwaheri na Alliance Girls aliyoitumikia kwa ...
Rais mpya wa Msumbiji Daniel Chapo, wa chama tawala cha FRELIMO, ameapishwa rasmi kuwa rais wa Msumbiji katika hafla ya faragha iliyofanywa chini ya ulinzi mkali mjini Maputo. Kuapishwa kwake ...
Kiongozi huyo mpya alichaguliwa Oktoba 9, na kuongeza muda wa utawala wa Frelimo, ambao umekuwa madarakani kwa karibu miaka 50. Uchaguzi wake bado una upinzani mkubwa, hasa na mgombea wa upinzani ...
“Na kwa sababu mtaala mpya ya elimu ya msingi ni miaka sita tu, wanafunzi wakifika darasa la sita watakuwa wamemaliza elimu ya msingi na hao ndio lazima waendelee kidato cha kwanza hadi cha nne kwa ...
"Siyo tu kwamba hali hizi mbaya na za hatari zitatatiza sana mapambano dhidi ya moto unaoendelea, lakini zitafanya kuzka kwa moto mpya mkubwa zaidi," mamlaka ya hali ya hewa ya Marekani inaonya.
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), Deogratius Mahinyila akiwa amebebwa na wajumbe baada ya kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uchaguzi huo ulioanza jana na kutamatika leo, ...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025.
YANGA ipo Mauritania ambapo kuanzia saa 4:00 usiku leo Jumapili itashuka uwanjani kumalizana na Al Hilal ya Sudan katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini mapema mabosi wa klabu hiyo wameamua ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果