Kulingana na Vuguvugu la MSA, tukio hilo lilitokea kati ya miji ya Ansongo na Menaka kaskazini mwa Mali. Wapiganaji wawili waliouawa ni kutoka vuguvugu lenye silaha ambalo linaunga mkono utawala ...
Kutokana na hali hii, wakazi wa vijiji kadhaa wanapendelea kukimbilia mbali na barabara kuu na kuweka mali zao mbali kabisa ili kuepuka uporaji. Vyanzo vya habari vya ndani vinaripoti kuwa timu za ...