VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya kumaliza mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ni ...
Lakini msemaji wa jeshi la Burundi amepuuzilia mbali ripoti za kuondoka kwa jeshi hilo kuwa ni "uongo", na amesema katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X kwamba wanajeshi wa nchi yake ...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi atashiriki katika mkutano wa kilele wa viongozi wa Mashariki na Kusini mwa Afrika unaoanza Ijumaa kujadili mzozo wa mashariki mwa nchi ...
Shinikizo linaongezeka kwa utawala mjini Kigali wakati waasi wa M23 inaonekana wanasonga mbele kuelekea mji mwengine wa Mashariki mwa Kongo wa Bukavu. Mapigano yameendelea kuripotiwa maeneo ...
Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini alizungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusiana na hali ya mashariki mwa Kongo, ambako waasi wa M23 wanaaminika kuungwa mkono na serikali ya Kigali.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果