SHINYANGA:MATUKIO mbalimbali wakati Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa  wilayani Kishapu, Mkoa ...
SHINYANGA; Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahakikishia wananchi wilayani Kishapu, Mkoa wa ...
Katibu wa NEC, Itikadi, Mafunzo na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla ameeleza masikitiko yake juu ya tukio ...
Ofisa Sheria Mwandamizi, Idara ya Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Ramadhani Myonga, ...
WANANCHI zaidi ya milioni 43 kutoka mikoa 23, halmashauri 154 , kata 1,639, vijiji 4,897 vimefikiwa na kampeni ya msaada wa ...
SIKU chache baada ya uongozi wa timu ya Mashujaa FC kutangaza benchi jipya la ufundi kufuatia kumtimua kocha wake, Mohamed ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mtwara imetoa msaada wa vyakula mbalimbali katika vituo viwili vya kulelea watoto ...
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameonya kuwa mwananchi yoyote atakayekaidi kupata suluhisho kupitia msaada wa ...
Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Canada hapa nchini, Emily Burns, Ikulu ...
Amesema kulingana na sera iliyopo kwa sasa inaruhusu mtu kuagiza gari chakavu hata kama lina miaka zaidi ya 50 na kwamba ...
NAIBU Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya ameutaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kubuni mkakati utakaowezesha ...
Kufikia Machi mwaka huu maendeleo ya mradi yamefika asilimia 55 na zaidi ya raia 8,000 wa Uganda na Tanzania wameajiriwa ...